STARS, BRAZIL ZAUNGANA VITA YA MALARIA

MECHI baina ya Taifa Stars na Brazil itakayochezwa jioni ya kleo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam itasaidia kusambaza ujumbe unaohusu ugonjwa wa malaria.
Kwa mujibu wa taasisi ya United Against Malaria ujio wa Brazili ni moja kati ya kampeni za kutokomeza Malaria barani Afrika ambapo mchezo huo utasaidia kutoa mwanga katika njia mbadala za kupambana na kutibu ugonjwa huo unaoua watu 80,000 nchini Tasnzanuia.



WAZIRI WA KAZI AJIRA NA MAENDELEO YA VIJANA, JUMA KAPUYA



BALOZI WA BRAZIL NCHINI, FRANCISCO CARLOS LUZ
KUTOKA KUSHOTO OFISA HABARI WA RBP ANGELA MSANGI, MENEJA HUDUMA WA RBP IBRAHIM KHATRUSH NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA SOKA CHA WANAWAKE (TWFA) LINA MADINA MHANDO

IBRAHIM, LINA NA RAHMA AL KHAROOS AMBAYE NI RAIS WA RPB OIL&INDUSTRIAL TECHNOLOGY TZ LTD INYODHAMINI TWIGA STARS AMBAYO PIA NI MLEZI WAKE
                         

                                      

Comments