SOUTH AFRIKA 2 UFARANSA 1

WENYEJI wa fainali xza kombe la dunia mwaka 2010, AFRIKA KUSINI wamefanya kweli kwa kuifunga ufaransa mabao 2-1.






Wakicheza 10 uwanjani Mabao ya Afrika kusini yalipachikwa na Bongani Khumalo aliyefunga katika dakika ya 20 na Katlego Mphela katika kipindi cha kwanza, huku bao la Ufaransa likiwekwa kimiani dakika ya 70 na Florent Malouda

Aidha, Uruguay iliichapa Mexico bao 1-0.

Comments