TFF YATANGAZA MAJINA YA WALIOCHWA NA KKLABU ZA LIGI KUU BARA

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetangaza majina ya wachezaji wa vilabu vya Ligi Kuu Bara waliomaliza mikataba, kusitishwa na kuachwa na klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL)
Ofisa Habari wa TFF  Florian Kaijage, alisema klabu Kagera Sugar inaoongoza kwa kuwa na wachezaji wengi waliomaliza mkataba ikiwa nao 26, ikifuatiwa na Maji Maji ya Songea yenye wachezaji 20, mabingwa wa Ligi hiyo Simba yenye wachezaji 19, Yanga wapo 17, Mtibwa Sugar na JKT Ruvu zimesitisha mikataba na wachezaji wao sita kila mmoja na Azam FC ikisitisha mikataba ya wachezaji watatu.

Aidha Kaijage amezikumbusha klabu za ligi Kuu kuhakikisha zinamalizana na wachezaji hao kwani muda wao umemalizika juni 21 na zoezi la usajili litakamilika julai 18 mwaka huu.

WALIOMALIZA MKATABA SIMBA.


MOHAMED BANKA
SALUM KANONI
KELVIN YONDANI
JUMA JABU
MUSSA MGOSI
NICO NYAGAWA
RAMADHANI CHOMBO
DAVID NAFTAL
MOHAMED KIJUSO
HARUNA SHAMTE
ADAM KINGWENDE
SALUM AZIZ
ULIMBOKA MWAKINGWE
GEORGE NYANDA
ALLY MUSTAFA
MESHACK ABEL
JABIR AZIZ
DEO MUNISHI
WALIOMALIZA MKATABA YANGA :
OBREN CUCKOVIC
SHADRACK NSAJIGWA
NURDIN BAKARI
ABDI KASSIM
WISDOM NDHLOVU
KIGI MAKASI
BAKARI MBEGU
MOSES ODHIAMBO
KABONGO HONORE
BONIFACE AMBANI
HAMISI YUSUPH
FRED MBUNA
GEORGE OWINO
VICENT BARNABAS
ALLY MSIGWA
NADIR HAROUB


WALIOACHWA YANGA:
AMIR MAFTAH.
JAMA MBA

a

Comments