RAGE ATANGAZA NIA

ISMAIL ADEN RAGE

MWENYEKITI WA klabu ya Simba Al Hadj Ismail Aden Rage ametanga nia yake ya kuwania ubunge katika jimbo la Tabora Mjini kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza na waandishi wa habari jana Rage ambaye pia ni mwenyekiti wa jumuiya ya Wazazi wa mkoa wa Tabora alisema anaungana na na wana CCM wenzake walioonesha nia zao.Wapenzi wapiga kura na wananchi wa Tabora kwa jumla nia yake ni kuomba ridhaa yao ili wampe kibali cha kuwatumikia kama mbunge wao kwa kipindio cha 2010-2015.

Comments

  1. mwemweh jamani wanaccm mpeni kura za ndiyo huyu baba anajituma sana, msimu ule mliomtosa sasa hivi nadhani amekomaa kabisa, kila kila la heri mjomba,
    nyadude iringa

    ReplyDelete

Post a Comment