MISS ILALA LEO

SHINDANO la kumsaka mrembo wa Kanda ya Ilala linatarajiwa kufanyika leo kwenye ukumbi wa Ubungo Plaza ambapo warembo 18 watapanda jukwaani kuwania taji linaloshikiliwa na Sylvia Shally.

Bendi ya muziki wa dansi ya Fm Academia na kundi la Wanne Star wanatarajiwa kutoa burudani

Comments