MADEGA ANG'OLEWA





LICHA ya aliyekuwa mwenyekiti wa Yanga Iman Madega kujitapa kwamba hakuna anayeweza kumg'oa madarakani leo imeshindikana baada ya wanachama wa klabu hiyo kumg'oa pamoja na viongozi wenzake.
Hatua hiyo inashabihiana na ushauri wa mdhamini wa klabu hiyo, Yusuf Mahboob Manji kuutaka uongozi huo kufuata katiba kwa kupisha wengine kuongoza klabu hiyo.
Kama hiyo haitoshi katika mchakato wa marekebisho ya katiba ilibainika katiba hiyo kuchezewa kwa kuondoshwa ama kubadilishwa baadhi ya vipengele bila ridhaa ya wanachama wa klabu hiyo.





wanachama


wanachama wakijiandisha tayari kwa mkutano





madega akijibu hoja
                                                         
                                      akipoza koo na maji
 
                         makamu wa pili wa rais wa TFF, Athumana Nyamlani akitoa ufafanuzi

                                    

Mwenyekiti wa Kamati ya Rufaa ya TFF, Alex Mgongolwa
 
mmoja wa wanachama, Kanali mstaafu Ali Mwanakatwe

                                                  

Yusuf Mzimba, mmoja ya wanachama nguli wa Yanga
Wanachama

wanachama

Comments