DIONIZ MALINZI MLEZI SIMBA S.C, YAPATA MRITHI WA KADUGUDA



KATIBU WA SIMBA, EVODIUS MTAWALA

KLABU  ya simba imemwajiri kama Katibu Evodius Mtawala , ambapo katika kipindi cha uangalizi wa miezi mitatu atatumika kama Ofisa tawala wa klabu hiyo.


MWENYEKITI WA SIMBA, ISMAIL ADEN RAGE AKIMKABIDHI MTAWALA KATIBA YA KLABU HIYO

Mwenyekiti wa Simba Ismail Aden Rage alisema pia kamati ya utendaji imemteua mwanachama maarufu wa klabu hiyo Dioniz Malinz pamoja na Hamis Kilomoni, Ramesh Patel, Abas Sykes na Abdul Wahid 'Maziwa' kuwa wajumbe wa baraza la udhamini.


BAADHI YA WANAHABARI


SOFIA ASHERY WA GAZETI LA UHURU

Comments

  1. jamani huyo mtendaji mbn anaonekana ni mdogo ataweza kweli kuhimili mikimik ya Simba au ndo kubebana, Maria

    ReplyDelete
  2. huyo dada aache umalaya ndo maana anaachwa ovyo
    aridhike na mmoja

    ReplyDelete

Post a Comment