VIONGOZI WA ZAMANI SIMBA WAKABIDHI OFISI, UONGOZI MPYA


 KATIBU MKUU WA SIMBA ALIYEMALIZA MUDA WAKE MWINA MOHAMED SEIF KADUGUDA 'SIMBA WA YUDA' AKITAJA MALI NA VITU WALIVYOVIACHA KWA UONGOZI MPYA ULIOINGIA MADARAKANI MEI 9 2010



MWENYEKITI WA SIMBA ALIYEMALIZA MUDA WAKE HASSAN DALALI 'FIELD MARSHAL' KUSHOTO NA MWENYEKITI MPYA ISMAIL ADEN RAGE WAKIMWAGA WINO WAKATI WA MAKABIDHIANO YA OFISI YALIYOFANYIKA LEO MAKAO MAKUU YA KLABU HIYO YALIYOPO MTAA YA MSIMBAZI JIJINI DAR SALAAM
KADUGUDA, DALALI NA RAGE

DALALI AKIMKABIDHI RAGE KATIBA YA SIMBA YA MWAKA 2010

DALALI AKIMKABIDHI MKATABA WA KAMPUNI YA BIA TANZANIA (TBL) INAYOIDHAMINI SIMBA KUPITIA BIA YA KILIMANJARO AMBAO ULIPATIKANA KATIKA UONGOZI WAO


KADUGUDA AKIWAONYESHA WAANDISHI WA HABARI HATI YA KIWANJA CHA KLABU HIYO KILICHOPO BUNJU NJE KIDOGO YA JIJI LA DAR ES SALAA AMBAYO NI PIA NI MATUNDA YA UONGOZI WAO


KADUGUDA AKIMKABIDHI RAGE MKATABA WA MDHAMINI MWINGINE WA SIMBA KAMPUNI YA NSEJJERE YENYE MAKAO YAKE KATIKA JIJI LA WASHNGTON STATE, MAREKANI PIA NI MATUNDA YA UONGOZI WAO


DALALI AKIMKABIDHI RAGE KOMBE LA UBINGWA WA LIGI KUU BARA 2009/2010 AMBAPO SIMBA IMETWAA BILA YA KUFUNGWA HATA MECHI MOJA


RAGE AKIFAFANUA JAMBO KWA WAANDISHI WA HABARI HAWAPO PICHANI
MAKAMU MWENYEKITI MPYA WA SIMBA GEOFREY NYANGE 'KABURU' AKIONYESHA KOMBE LA UBINGWA WA BARA 2009/2010

DALALI 'FIELD MARSHAL' MWENYEWE WA UKWELI

UONGOZI wa klabu ya simba uliomaliza muda wake chini ya mwenyekiti wake Hassan Dalali umeukadhi ofisi uongozi mpya na kuutaka kufuata mema iliyoaacha sambamba na kuendelexza umoja na mshikamano baina ya wanachama iliyoujenga.
Dalali maarufu kama 'Field Marshal alisema licha ya kumaliza uongozi ataendfelea kuitumikia kwa hali na mali klabu hiyo huku akiwapa salamu watani wao wa jadi, yanga kuwa 4-4 bado zitaendelea kuwemo.
Uongozi wa kina dalili ulimkabidhi mwenyekiti mpya Ismail Aden Rage magari matatu, miakataba ya udhamini ya kampuni za TBL, PUSH MOBILE, NSEJJERE SPROSTS &CASUAL WEAR YA USA, hati ya kiwanj kippya kilichopo Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Aidha wamekabidhi jengo la zamani na jipya na kusema kuwa hati zake zipo kwa watu tofauti.
KILA LA HERI UONGOZI MPYA, SIMBA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.

Comments

  1. tunawatakia kila la heri uongozi mpya wa Suimba

    ReplyDelete
  2. Rage chonde chonde usituharibia timu yetu tunaomba muendeleze mazuri waliyoyafanya kina dalali.SIMBA JUU...Alye Tabora

    ReplyDelete

Post a Comment