VIDEO 'BADO TUNAPANDA' YA TIP TOP CONNECTION KUREKODIWA J2 HII WET N' WILD

                                                             


                                                           Babu Tale
Tundaman


Cassim
              
                                    Keysha
KAZI ya kurekodi video ya wimbo 'Bado Tunapanda' wa wasanii wa Tip Top Connection itafanyika jumapili hii katika hoteli ya Wet n' Wild Kunduchi.

Kwa mujibu wa meneja wa kundi hiyo Babu Tale kazi ya kurekodi video hiyo itafanywa na Visual Lab chini ya Adam Juma.

Tale ameomba warembo kuhjitokeza kwa wingi ili kupamba video hiyo.

Wasanii walioshiriki katika wimbo huo ni pamoja na Cassim, Keysha, Tundaman, Madee na Deso ambao wanafanya kazi chjini ya Tip tOP Connections yenye maskani yake Manzese.

Comments

  1. TIP TOP MKO JUU ZAIDI HAKUNA WA KUWAPIKU

    ReplyDelete

Post a Comment