Simba yatozwa mapato na Waganda kombe la Kagame


Kikosi cha Simba

Timu ya Simba imeendelea kushindwa kuhimili mikiki mikikimiki ya michuano ya Kagame kwa mwaka 2010 bada ya kufungwa mabao 2-1 na timu ya mamlaka ya mapato ya Uganda (URA)

Comments