SIMBA YATISHIWA NYAU

MABINGWA wa soka Tanzania Simba ya Dar wameshindwa kufurukuta kwa mabingwa wa Kenya Sofapaka baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 katyika mchezo uliochewa jioni ya leo.
Bao la Sofapaka liliwekwa kimiani na mshambuliaji wa zamani wa Yanga John Barasa katika dakika ya 27 ya mchezo huo uliopigwa kwenye uwanja wa Nyamirambo.
Simba itashuka tena dimbani ijumaa kukamilisha ratiba kwa kucheza na watoza ushuru wa Uganda (URA).

Comments

  1. KUTELEZA SIO KUANGUKA, BADO MNAYO NAFASI YA KUFANYA VIZURI.SIMBA ONYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
    MDAU DAMI

    ReplyDelete

Post a Comment