SIMBA yaanza vema kombe la KAGAME yaitandika ATRACO 2-1

KIKOSI CHA SIMBA
MABINGWA wa ligi kuu bara wanaoiwakilisha Tanzania kwenye kombe la Kagame Simba ya Dar es Salaam wameianza vyema michuano hiyo kwa kuwatandika mabao 2-1 mabingwa watetezi wa michuano hiyo Atraco ya Rwanda.

Katika mechi iliyopigwa kwenye uwanja wa Amahoro katika jiji la Kigali, Rwanda inapofanyika michuano hiyo Simba ilipata mabao yake kupitia kwa mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara, Mussa Mgosi na mshambuliaji wao mpya iliyomsajili klutoka African Lyon ya Dar es Salaam Robert SSentongo.

Simba itashuka dimbani Alhamisi ya Aprili 20 kukwaana na Sofapaka ya Kenya.

SIMBA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

Comments