NGASSA RASMI AZAM FC

Ngassa

HATIMAYE klabu ya soka ya Azam Fc ya jijini Dar es salaam imefanikiwa kumng'oa mshambuliaji mahiri wa Yanga Mrisho Ngassa kwa milioni 58l.

Mwenyekiti wa Yanga Iman Madega amewaambia waandishi wa habari kwamba wameshamalizana na uongozi wa Azam baada ya kikao kilichofanyika jana.

Aidha, Madeaga amesema watakua tayari kuvunja mkataba na beki wao anayewaniwa pia na azam Nadir Haroub 'Cannavaro' iwapo viongozi watakutana kwa mazungumzo zaidi.

Ngassa ambaye awali aliwekewa ngumu na klabu hiyo, juzi aliruhusiwa kwenda Azam FC kwa dau la Milioni 58.


Madega

Comments