EXTRA BONGO TAYARI KWA UZINDUZI WAKE


WANENGUAJI WA KIKE
WANENGUAJI WA KIUME

MKURUGENZI WA EXTRA BONGO ALI CHOKI MBELE AKIWAONGOZA WENZAKE KATIKA ONYESHO LA UTAMBULISHO KWA WAANDISHI WA HABARI KABLA YA UZINDUZI RASMI UTAKAOFANYIKA MEI 28

MKURUGENZI WA KAMPUNI YA ABAMA INC AHMED MAGOMA AKIMKABIDHI CHOKI HUNDI YA MILIONI TANO KWA AJILI YA KUFANIKISHA UZINDUZI WAO UTAKAOFANYIKA KWENYE UKUMBI WA MSASANI CLUB MEI 28

DOUGLAS SAGAWALA MSEMAJI WA BENDI


Comments

  1. Tunapenda sana kukupongeza kwa kuweza kuutengeneza huu ukurasa, tunakutakia kila la kheri na utuwezeshe sisi wasomaji wako kupata habari mbalimbali za kimichezo na burudani nyingine mungu akubariki kwa kazi yako hii nzuri

    ReplyDelete
  2. Asanteni sana kwa kunikubali, mcjali nitaendelea kuwapa mambo kemkem

    ReplyDelete
  3. dada unajua wewe ni mzuri ndo maana ukawa na mume na watoto hongera na watoto wako nimewaona wazuri, hongeraaaaaaaa

    ReplyDelete

Post a Comment