WANAHABARI WADOKOLEWA FILAMU YA 'LOVELY GAMBLE'

MKURUGENZI WA ASET, ASHA BARAKA

KAMPUNI ya African stars entertainment (ASET) leo imewatambulisha waandishi wa hbari ujio wa filamu mpya iliyopewa jina la 'LOVELY GAMBLE' ambayo imechezwa na msanii maarufu wa Tanznia, Steven Kanumba na wasanii wengine wa Tanzania, Kenya na Nigeria wanaoishi Uingereza.
Filamu hiyo imerekodiwa Uingereza na itazinduliwa rasmi Aprili 28, huku kampuni ya KAPICO itafanya kazi ya kuisambaza ulimwenguni kote.

Comments