SIMBA 4 YANGA 3

MABINGWA wa ligi kuu soka ya Vodacom msimu wa 2009/2010, Simba waliendeleza furaha yao ya kutwaa ubingwa mapema kabla ya kumalizika kwa ligi hiyo walipowatungua watani wao wa jadi, Yanga kwa mabao 4-3, mchezo uliopigwa jumapili ya Oktoba 18 katika uwanja wa Taifa ambapo siku hiyo pia Simba ilikabidhiwa kombe.



                                                                 

Nahodha wa Simba, Nico Nyagawa akipokea kombe la ubingwa



kinara wa Simba, Musa Mgosi baada ya mchezo

Kocha msaidizi wa Simba, Amri Said

 
kikosi cha Simba
mashabiki wa Simba

Mwenyekiti wa Simba, Hassan Dalai 'Field Marshal' akitokwa na chozi la furaha

Kocha wa yanga, Kostadin Papic

kikosi cha Yanga

Comments