LIGI KUU BARA MZUNGUKO WA PILI WAENDELEA, AZAM VS KAGERA SUGAR 1-1


WAKATI mzunguko a pili wa Ligi Kuu Bara ulianza kutimua vumbi Jan 16 ambapo mabingwa watetezi walianza kwa kuibugiza mabao 2-0 African Lyon, kabla ya vinara wa ligi hiyo kwa sasa juzi kuirarua Maji maji ya Songea kwa mabao 2-0 , wakati mechi baina ya Kagera Sugar ya Kagera na Azam Fc iliyopigwa jana, Jan.18 timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1

Comments