stars yatota Chalenji

kocha mkuu wa kilimanjaro stars, marcio maximo akiwapa maelekezo wachezaji wa timu hiyio



TIMU ya soka ya Bara, Kilimanjaro Stars jana ilianguakia pua kwenye michuano ya Chalenji baada ya kufungwa mabao 3-1 na Rwanda katika mchezo wa nusdu fainali ya michuano hiyo.
Kwa matokeo hayo, Kili Stars sasa itamenyana na Zanzibar Heroes katika mechi ya kusaka mshindi wa tatu

Comments