Karibu kwenye chama dada

swaumu na mumewe wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya free media
mhariri mtendaji wa free media, Absalom kibanda akimkabidhi zawadi swaum na mumewe Filbert



mimi, ratifa baranyikwa, kulwa karedia na eliza tukishuhudia tukio


Hongera sana dada Saum tunakutakia kila la heri katika maisha yako mapya ya ndoa, umtangulize mungu daima inshallah

Comments