MR. NAY AACHIA 'SIJIWEZI


MKALI wa bongo Fleva, Elibariki Munisi maarufu kama Ney wa Mitego au Mr. Nay ameaachia singo yake mpya inayokwenda kwa jina la 'Sijiwezi', kibao hicho kimetayarisha katika studio za Free Nation.