YANGA YATWAA NGAO YA JAMII, YAICHAPA AZAM FC 1-0

MABINGWA wa ligi kuu soka Tanzania Bara Yanga SC leo wamefanikiwa kutwaa Ngao ya Jamii baada ya kuitandika Azam FC bao 1-0, mchezo ulipogwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Bao hilo pekee lililoipa ushindi  Yanga lilipachikwa na Salum Telela (pichani)