YANGA YAIRARUA MTIBWA SUGAR 3-1

MABINGWA wa ligi kuu soka Tanzania Bara, YAnga SC wameonesha kweli wameiva katika maandalizi yao ya ligi hiyo baada ya kuitandika Mtibwa Sugar kwa mabao 3-1.
Mchezo huo wa kirafiki ulifanyika jioni ya leo katika uwanja wa Taifa ambapo mabao ya Yanga yalifungwa na Said Bahanuzi, Jerry Tegete na Hussen Javu