SIMBA WAPOKEA DOLA 40,000 ZA KAZIMOTO

HATIMAYE klabu ya simba imepokea dola 40,000 kutoka klabu ya Al Markhiya sc ya Qatar kwa ajii ya kumnnunua aliyekuwa kiungo wake, Mwinyi Kazimoto.Tayari Kazimoto amesaini mkataba wa miezi 18 kwa ajili ya kuitumikia klabu hiyo.