MOTO WAZUKA OFISI ZA KIFA USIKU HUU

HABARI zilizoifikia blogu hii hivi karibuni zinaeleza kwamba, ofisi za chama cha soka mkoa wilaya ya Kinondoni (KIFA) zimeungua moto.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kifa, Isaac Mazwile chanzo cha moto huo bado hakijajulikana.