KLABU YA MCHEZO WA BAO KWA UPANDE WA WANAWAKE YAANZISHWA MTAA WA KASULU, ILALA


Wachezaji wa Mchezo wa bao wakicheza wakati wa mazoezi ya mchezo huo yaliyofanyika katika klabu yao iliyopo Mtaa wa Kasuru Ilala Dar es salaam jana kushoto ni Salha Wailes na Halima Kaubanika.

Wachezaji wa Mchezo wa bao wakicheza wakati wa mazoezi ya mchezo huo yaliyofanyika katika klabu yao iliyopo Mtaa wa Kasuru Ilala Dar es salaam jana kushoto ni Salha Wailes na Halima Kaubanika Picha na www.burudan.blogspot.com