TAIFA STARS YAENDELEA KUJIFUA JIJINI MWANZAWachezaji wa Timu ya Taifa, Taifa Stars wakiwa mazoezini ikiwa ni mandalizi ya mechi ya marudiano na Uganda kuwania kucheza mashindano ya CHAN mwakani.Mazoezi hayo yanafanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza