TABORA WAKOMALIA MCHEZO WA BAO July 18, 2013 Get link Facebook Twitter Pinterest Email Other Apps Juma Shoka Salumu Dilunga Kushoto akicheza mchezo wa bao na Salumu Dilunga wakati walipokuwa maeneo ya Changamoto Mkoa wa Tabora jana mchezo huo uliozoeleka kuchezwa mikoa ya pwani imeleta chachu kubwa kwa wakazi wa mkoa wa Tabora picha na blog ya SUPER D Comments
Comments
Post a Comment