BRAZIL MABINGWA WA MABARA, YAITANDIKA HISPANIA 3-0


HATIMAYE Brazil imefanikiwa kutwaa  Kombe la Mabara baada ya kuibanjua  Hispania mabao 3-0 katika mchezo wa fainali uliopigwa kwenye Uwanja wa Jornalista Mario Filho Rio de Janeiro, Brazil.