WASHINDI REDDS MISS KIGAMBONI WATEMBELEA JAMBO LEO, STAA SPOTI

 Warembo wanne walioingia Redds Miss Temeke 2013, baada ya kushinda mashindano ya Redds Miss Kigamboni yaliyofanyika mwishoni mwa wiki, wakipata maelezo kutoka kwa Mhariri Mkuu wa gazeti la Jambo Leo, Anicetus Mwesa walipotembelea chumba cha habari cha gazeti hilo na la Jambo Leo, Dar es Salaam
 Mpigapicha Mkuu  wa gazeti la Jambo Leo, Staa Poti, Jambo Brand Tanzania na Dar Metro, Richard Mwaikenda akiwapatia warembo hao elimu ya picha za habari.


 Warembo wanne walioingia Redds Miss Temeke 2013, baada ya kushinda mashindano ya Redds Miss Kigamboni yaliyofanyika mwishoni mwa wiki, wakizungumza na Mwandishi wa Habari wa gazeti dada la Staa Spoti, Zahoro Mlanzi walipotembelea chumba cha habari cha gazeti hilo na la Jambo Leo, Dar es Salaam
 Mwandishi wa habari za michezo, Asmah Mokiwa akizungumza na warembo hao
 Warembo wakipata maelezo kwa Proof Reader, Joseph Mabula
 Mhariri wa gazeti la Jambo Leo Jumapili, Said Mwishehe (kulia), akiwapa somo warembo hao
Warembo wakiangalia jinsi msanifu kurasa akiandaa gazeti