NSSF YAMWAGA FULANA 300 KWA MASHABIKI WATAKAOHUDHURIA MCHEZO WA STARS NA MOROCCO KESHO

OFISA uhusiano wa NSSF Juma Kintu akikabidhi moja ya fulana kwa rais wa TFF LeodegerTenga zilizotolewa na Shirika hilo maalum kwa mashabiki waliopo nchini Morocco watakazozivaa katika mchezo baina ya Stars na Morocco utakaopigwa kesho kwenye uwanja wa Grand Stade huko Marrakechi, Morocco.Wanaoshuhudia ni Katibu wa TFF Angetile Osiah, meneja wa bia ya Kilimanjaro George Kavishe na Mkurugenzi wa ufundi wa TFFm, Sunday Kayuni.