MSANII SAJNA AWAZAWADIA MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA KWA SINGO MATATA

SAJNA AMETOA WIMBO SPECIAL KWAAJILI YA MASHABIKI WA MPIRA HASA WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA UNAITWA (MPIRA GANI), KASHIRIKIANA NA FREGE.