MAMBO YAZIDI KUNOGA MISS TEMEKE 2013 WAREMBO wanaotarajiwa kushiriki shindano la miss Temeke wakiwa kwenye pozi mara baada ya mazoezi ya kujindaa na shindano hilo linalotarajiwa kufanyika Julai 5 kwenye ukumbi wa TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam.

0 Maoni::

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.