GEORGE MADINDA NA NEMBRIS JACKSON WAMEREMETA

 Hayawi hayawi yamekuwa , Bwana harusi George Madinda akimvisha pete ya ndoa mkewake Nembris Jackson  wakati wa ibada ya ndoa yao ilioyofanyika katika kanisa la Angrican  Mt. Batholomea lililopo Ubungo ,na kufuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika katika ukumbi wa Mbezi Garden jijini Dar es Salaam. 
  Bibi harusi Nembris Jackson akimvisha pete ya ndoa mme wake George Madinda    wakati wa ibada ya ndoa yao ilioyofanyika katika kanisa la Angrican  Mt. Batholomea lililopo Ubungo ,na kufuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika katika ukumbi wa Mbezi Garden jijini Dar es Salaam.
 Bwana  harusi George akiwa katika pozi la picha na mkewe Bi,Nembris baada ya kufunga ndoa yao Takatifu katika Kanisa la Anglican Mt. Batholomayo  Ubungo jijini Dar es Salaam, na kufuatiwa na sherehe ya kuwapongeza iliyofanyika katika Ukumbi wa Mbezi Garden.