BINTI WA MWANAMIELEKA MAARUFU HULK HOGAN ACHUMBIWA

Hogan akiwa na binti yake Brooke


BROOKE Hogan, binti wa mcheza mieleka maarufu duniani Hulk Hogan, amechumbiwa na mchezaji  wa Cowboys  Dallas inayoshiriki Ligi ya NFL, Phil Costa.


Costa ambaye anaingia msimu wa nne katika NFL aliamua kupiga goti huku katika  tukio hilo lililojiriri kwenye kiota cha Bellagio mjini Las Vegas nchini Marekani.