ALBERT MANGWEA AANGWA LEO LEADERS, KUZIKWA KESHO MOROGORO


1Waombolezaji Ndugu,Jamaa  marafiki wakipita mbele ya mwili wa marehemu Albert Mangwea wakati wa kuaga mwili wa marehemu huyo kwenye viwanja vya Leaders leo asubuhi jijini Dar es salaam, ambapo masabiki wake lukuki pamoja na wasanii wenzake wamehudhuri kwa ajili ya kumuaga mpendwa wao, mwili wa Marehemu Albert Mangwea umesafirishwa leo kwenda mkoani Morogoro ambako ndiko atazikwa.
(NA FULLSHANGWE BLOG)
2Kamati ya maadalizi ikitoa shukurani mbele ya waombolezaji wakati wa kuaga mwili wa marehemu Albert Mangwea leo kwenye viwanja vya Leaders.34Wanakamati wakijiandaa kupanda jukwaani kwa ajili ya kitoa shukurani zao kutokana na ushirikiano walioupata katika kipindi hiki kigumu.5Umati wa mashabiki wa muziki ukisubiri kwenda kuaga mwili wa marehemu Albert Mangwe leo.6Msanii Profesa J. wa tatu kutoka kushoto akiwana ndugu wa Albert Mangwea katika miba huo. 7Mwanamuziki Lady Jay Dee akiwa na wasanii wengine katika msiba huo wakati wa kuaga mwili wa marehemu Albert Mangwea.Steve Nyerere kulia  na Hatman Mbilinyi  waliokaa wamejumuika katika kumuaga msanii Albert Mangwea17Mdau Bhoke Wambura kushoto akijadili jambo na rafiki yake Dokii pamoja na rafiki yao Aisia wakishiriki katika msiba wakati wa kuaga mwili wa marehemu Albert Mangwea kwenye viwanja wa Leaders leo kabla ya kuondoka kuelekea Mkoani Morogoro kwa mazishi8Watu wengi wameuaga mwili wa marehemu Albert Mangwea kama wanavyoonekana kwenye picha.9Ndugu wa karibu wa marehemu Albert Mangwea wakiwana majonzi makubwa10Ndugu wa karibu wa marehemu Albert Mangwea wakiwana majonzi makubwa12Wasanii wa muziki wa kizazi kipya wakiwa katika msiba huo huku wakiwa na masikitiko makubwa.13Waigizaji wa filamu nao wamejumuika na wenzao pamoja katika msiba huo14Ilikuwa ni majozi na ukimya tu15Said Bonge wa Clouds wa pili kutoka kushoto akiwa pamoja na waombolezaji wengine wakiwemo wanausalama16Steve Nyerere kulia  na Hatman Mbilinyi  waliokaa wamejumuika katika kumuaga msanii Albert Mangwea