RATIBA KOMBE LA KAGAME HADHARANI, ZAWADI ZAONGEZWA


HATIMAYE DROO ya makundi kwa timu zitakzoshiriki michuano ya soka Afrika mashariki na kati maarufu kama Kombe la kagame imefanyika mchana wa leo, ambapo mabingwa wa ligi kuu soka Tanzania Bara, yanga Sc wakipangwa kundi c, huku wawakilishi wengine wa tanzania, Simba sc wakipangwa kundi A.
Michuano hiyo inayotarajiwa kuanza kuanza kutimua vumbi juni 18 hadi julai 2 mwaka huu huko  , sudan ambapo timu 13 zitakazoshiriki zimepangwa katika makundi matatu ya A, B na c.
Timu zitakazo shiriki mashindano hayo na nchi zinazotokea kwenye mabano ni : Al-Hillal, El-Merreikh na Al Ahli Shandy (Sudan), Al Nasri (Sudan Kusini), Yanga & Simba (Tanzania), Express (Uganda), Tusker (Kenya), APR (Rwanda), Vitaloo (Burundi),  Ports (Djbouti), Elman (Somalia) na Falcon (Zanzibar)
katibu Mkuu wa Baraza la vyama vya soka Afrika mashariki na Kati (CECAFA) Nicholaus musonye amesema zawadi za mwaka huu zimeongezka kutoka dola 60,000 hadi 80,000 ambapo kamati ya utendaji ndiyo itapanga zawadi kwa washindi.
KUNDI A: El-Merrekh -(Sudan), APR (Rwanda), Simba SC (Tanzania), Elman (Somalia).
KUNDI B: Al-Hillal (Sudan), Tusker (Kenya), Al Nasri (Sudan Kusini), Falcon (Zanzibar),  Al Shandy (Sudan).
KUNDI C: Yanga SC (Tanzania), Express (Uganda), Ports (Djibout), Vitaloo (Burundi).


KAGAME CUP FIXTURE 18th JUNE - 2nd JULY 2013 (EL-FASHIR & KADUGLI - SUDAN)
DATETEAMTEAMGROUP/TIMEVENUE
18.06.2013.TUSKER SUPER FALCON B - 2:00 PMKADUGLI
 AL HILLAL AL NASRI B - 4:00 PMKADUGLI
19.06.2013.VITALOOPORTS  C - 4:00 PMEL-FASHER
20.06.2013.YANGA SC EXPRESS C - 2:00 PMEL-FASHER
20.06.2013.ELMAN FC APR FC A - 4:00 PMEL-FASHER
20.06.2013.SUPER FALCON AL NASRI B -2:00 PMKADUGLI
20.06.2013.TUSKER AL-SHANDY B - 4:00 PMKADUGLI
21.06.2013.EL MERREIKH SIMBA SC A - 4:00 PMKADUGLI
22.06.2013.EXPRESS FC VITALOO C - 2:00 PMEL-FASHER
 PORTS YANGA SC C - 4:00 PMEL FASHER
22.06.2013.AL NASRITUSKER B - 2:00 PMKADUGLI
 AL SHANDY AL HILAL B - 4:00 PMKADUGLI
23.06.2013APR SIMBA SC A - 2:00 PMEL-FASHER
 EL MERREIKH  ELAM FC A - 4:00 PM
EL-FASHER
24.06.2013AL NASRI AL SHANDY B - 2:00 PMKADUGLI
 SUPER FALCON AL HILLAL B - 4:00 PMKADUGLI
24.06.2013. PORTSEXPRESS FC C - 4:00 PMEL-FASHER
25.06.2013.VITALOO YANGA SC C - 4:00 PMEL-FASHER
26.06.2013.AL SHANDY SUPER FALCON B - 2:00 PMKADUGLI
 AL HILLAL TUSKER B - 4:00 PMKADUGLI
26.06.2012.SIMBA SC ELMAN FC A - 2:00 PMEL-FASHER
 APR FC EL MERREIK A - 4:00 PMEL-FASHER
27.06.2013.REST DAYREST DAYREST DAY
  REST DAY
28.06.2013.(23) B2 VS C2(24) B1 VS BEST QTBDKADUGLI
28.06.2013.(25) C1 VS A2(26) A1 VS B3TBDEL-FASHER
30.06.2013.WNR 23 VS WNR 25WIN 24 VS WIN 26TBD 
01.07.2013.REST DAYREST DAYREST DAYREST DAY
02.07.2013.LOOSER LOOSER 283RD - TBDEL-FASHER
  WINNER 27 WINNER 28  FAINAL - TBDEL-FASHER