WAKALI WA MDUARA KUKINUKINUKISHA CLUB BILICANAS J'2 HII


NDANI YA BONGO STARZ NITE NI WAKALI WA MDUARA OFFSIDE TRICK  WAKISINDIKIZWA NA NGULI MWENYEWE MZEE YUSUPH NA MWANADADA BABY J. SI MNAMJUA MZEE YUSUPH? POA UKIKOSA UMEJIKOSESHA RAHA TUPU.