MCHUANO WA ‘THE MIC KING’ WAENDELEA DAR LIVE

Mshindani Saidi Seif akighani. Majaji wa mpambano kabla ya kuanza kwa shindano hilo. Kutoka kushoto ni Abdallah Mrisho, DJ JD na Ali Baucha.
Ni Ally Zuberi akiwa nyuma ya ‘mic’.
Ibrahim Jackson akionyesha thamani ya usanii wake.
Mshindano Lusajo Jackson akiingia jukwaani na baiskeli ya watoto.
…Akikamua katika nguo za shule na akiwa na fagio.
Baadhi ya washiriki wakiwa chumbani wakisubiri kupanda jukwaani.
Fundi mitambo wa Dar Live, Maulidi Kilinda, akituma sms.
Mchukua picha wa kituo cha utangazaji cha DTV akiwa kazini.
Miss Mbagala 2012, Venita Christopher, akijinafasi.
MTANANGE wa kumtafuta mkali wa nyimbo za ku-rap, The Mic King, uliendelea jana katika ukumbi wa burudani wa Dar Live ambapo washiriki 10 walichuana kugombea zawadi ya kushinda gari dogo la kifahari.
(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY)