LICHA YA KUKOSEKANA WADHAMINI,MASHINDANO YA NGUMI TEMEKE YAFANA


Bondia Athumani Yanga wa timu ya Ashanti Boxing ya Ilala akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Yusuph Saidi wa Kokoto wakati wa mashindano ya Klabu bingwa ya wilaya ya temeke yaliyoanza jana Yanga alishinda kwa point na kupereka shagwa katika klabu ya Ashanti .

Bondia Athumani Yanga wa timu ya Ashanti Boxing ya Ilala akioneshwa mkono juu baada ya kumpiga Yusuph Saidi wa Kokoto wakati wa mashindano ya Klabu bingwa ya wilaya ya temeke yaliyoanza jana Yanga alishinda kwa point na kupereka shagwa katika klabu ya Ashanti .

Bondia Husein Mawimbi wa Amana akinyooshwa mkono juu baada ya kumpiga kwa point bondia Said Mabunda wakati wa Mashindano ya Klabu bingwa wilaya ya temeke Dar es salaam jana Picha zote  na www.superdboxingcoach.blogspot.com