KUMBUKUMBU :ANTHONY NJEJE
Ni miaka mitano sasa imepita tangu ulipo enda kwenye makao ya kudumu Baba yetu Mpendwa tarehe 17.04.2008 Marehemu Anthony Njeje.Hatupo nawe kimwili lakinii kiroho upo nasi daima. Tunakukumbuka sana Baba yetu Mpendwa. Unakumbukwa sana na Mke wako Mpendwa Mama Elizabeth Anthony Njeje, Wanao Aninziye, Luseshelo-Ernest, Fredy na Sarah. Wajukuu zako Anthony Jr, Shikunzi-Alvin, Amarisa na Yasinta, Pia unakumbukwa na wafanyakazi wenzako wote, majirani zako, waumini wenzako, ndugu Jamaa na Marafiki. Sisi Tulikupenda sana lakinin Mungu alikupenda Zaidi. Jina la Bwana Lihimidiwe.

Amen