BREAKING NEWS:BI KIDUDE AFARIKI DUNIA

HABARI za kusikitisha zilizopatikana muda huu zinaeleza kwamba, msanii mkongwe wa Taarabu Visiwani Zanzibar Fatma Bint Baraka al Maarufu kama Bi.Kidude amefariki.
Bi. kidude ambaye amekuwa akizushinwa kifo mara klwa mara katika siku za hivi karibuni inasemekana amefariki asubuhi ya visiwani humo.
Sports Lady itakujuza taarifa zaidi.
Inna Lilallah Wainnaillaih Rajuun.