BONDIA FADHILI MAJIHA ARUDI NA UBINGWA KUTOKA INDONESIA


Bondia Fadili Majia akiwa na kombe la ubintaifa wa wa ngumi kimaifa alililinyakua nchini Indonesia wiki iliyopita alipo mpiga bondia Heri Amol  hapa alipo rakiwa baada ya kurudi dar es salaam jana kutoka kushoto ni Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini wengine ni mabondia Japhet Kaseba, Kanda Kabongo na Pendo Njau .
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akifuraia na bondia pendo Njau baada ya kumpokea bondia Fadhili Majiha katikati aliyerudi na kombe la ubingwa aliouchukua Indonesia wiki iliyopita  baada ya kumtwanga bondia Heri Amol, wa pili ni Japhet Kaseba mwingine ni Kanda Kabongo picha zote na www.superdboxingcoach.blogspot.com