JANA usiku katikati ya jiji kwenye ‘kiota’ maarufu cha michezo na burudani, City Sports Lounge ilifanyika sherehe za kuzaliwa za Mwandishi maarufu wa habari za michezo, Mahmoud Zubeiry.
Mahmound anayemiliki blog ya Bin Zubeiry alijumuika na marafiki zake wa karibu katika siku hiyo adimu akiwa anatimiza miaka 35 ya kuzaliwa.
Akiwa ameandamana na familia yake, Mahmoud “Bin Zubeiry” aliongea machache yaliyosisimua ikiwemo stori zake za kunusurika kifo mara tatu.
Zubeiry akilishwa keki na mkewe Dina Ismail
William Malecela akiongea machache
Mc Mwani Nyangasa alichangamsha vilivyo
Zubeiry akimlisha keki Sanga Richard wa Habari Mpasuko Blog
Pendo Msuya wa Channel Ten akilishwa keki
Bin Zubeiry akimlisha keki zee la totoz Zeddy Issa Lembuya
Ni wasaa wa kurebuka
Lissa kutoka London akiwa na mwenyeji wake William Molecela
Kumbukumbu ilioje hii ndani ya birthday hii: Miaka minane iliyopita Zubeiry na Dina (katikati) walifunga ndoa huku mpambe wa Bi Harusi akiwa ni Mwani Nyangasa (kulia) na mpambe wa Bwana harusi alikuwa Said Mdoe (kushoto)