YANGA YAITANDIKA LYON 4-0


USHINDI wa mabao 4-0 iliyoupata  Yanga leo dhidi ya African Lyon umezidi kuiimarisha kileleni mwa ligi kuu Bara.
Yanga na Lyon zilikwaana kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo kwa ushindi huo imefikisha pointi 36, ikifuatiwa na Azam yenye pointi 33 na Simba yenye pointi 28. Mabao ya Yanga yalipachikwa na Jerry Tegete aliyefunga mawili,  Didier Kavumbagu na Nizar Khalfan.
aliyeingia kuchukua nafasi ya Msuva, alipofunga bao