TANGAZO LA MSIBA TANZANIA ZANZIBAR


Familia ya Ahmed Abdullah Shatry na Mohamed Abdullaha Shatry ziliopo Mwembetanga Zanzibar, zinasikitika kutangaza kifo cha Marehemu Mama yetu mpendwa Bi Asama Abubakar.

Ambae ni Mama yake Nasiri Shatry (Chichili ) na Fatma Shatry (Da Mtu ) alieefariki dunia Joni ya leo hii Jumamosi Feb 16, 2013 Nyumbani kwao Mwembetanga.

Mipango ya Mazishi inaendelea kufanywa leo hii na kuzikwa Kesho Mida na wakati tutawajulisha leo hii.

Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mama yetu mpendwa Mahali pema peponi Ameen.

Innalillahiwainnailaihirojiun