STARS WALIPOWANELA MAKALI CAMEROON KWA MARA YA MWISHO


Wachezaji wa Taifa Stars wakiwa mazoezini jana jioni kujiandaa na mechi dhidi ya Cameroon kesho Jumatano katika Uwanja wa Taifa. Taifa Stars inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.