NIGERIA, BURKINAFASSO KUCHEZA FAINALI AFCON

TIMU za Nigeria na Burkinafasso zitamenyana katika fainali ya michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) ambapo mchezo huo utafanyika jumapili ya Februari 10