IDD PAZI 'FATHER' AJIUNGA NA CHADEMA


Aliyekuwa golikipa ya Simba na timu ya taifa, Idd Pazi ‘Father’, akipokea kadi ya uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutoka kwa katibu wa chama hicho mkoa wa Ilala kichama, Peter Chacha, baada ya kujiunga na chama hicho, katika hafla fupi iliyofanyika Gongo la Mboto, Dar es Salaam, jana. (Na Mpiga Picha Wetu)