YANGA KUCHEZA NA BLACK LEOPARDS J'2

TIMU ya soka ya Yanga inatarajiwa kushuka katika dimba la Taifa jijini Dar es Salaam siku ya Jumapili ambapo itakwaana na Black Leopard ya Afrika Kusii.
Katibu Mkuu wa Yanga, Lawrance Mwalusako amesema leo kwamba kikosi cha Yanga kilichokuwa Uturuki baada ya kurejea leo alfajiri wachezaji watapumzika kwa siku mbili kabla ya jumatano kuanza mazoezi

Comments