WAZIRI MAGUFULI AKIONESHA UFUNDI WAKE WA KUPIGA NGOMA

Waziri wa Ujenzi,Dk. John Magufuli akipiga Ngoma aina ya Tumba sambamba na Mpiga Gita wa Bendi ya Msondo Ngoma wakati wa hafla fupi ya Uzinduzi wa Ujenzi wa Daraja la Mbutu,Wilayani Igunga Mkoani Tabora leo.Uzinduzi huo umefanya na Rais Jakaya Mrisho Kikwete (hayupo pichani).Picha na IKULU.